Fransisko De Geronimo

Mchoro wake wa kale zaidi na uso wake katika nta siku ya kufa.

Fransisko De Geronimo, S.J. (Grottaglie, Puglia, 17 Desemba 1642Napoli, Campania, 11 Mei 1716) alikuwa padri wa Italia Kusini na mtawa wa Shirika la Yesu maarufu kwa mahubiri yake aliyoyatoa sehemu nyingi na kwa uchungaji wake kati ya watu maskini[1] [2][3][4]

Alitangazwa mwenyeheri na Papa Pius VII mwaka 1806, halafu mtakatifu na Papa Gregori XVI mwaka 1839.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Mei[5].

  1. "Saint Francis of Girolamo". Saints SQPN. 14 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo 21 Machi 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "St. Francis di Girolamo". EWTN. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-25. Iliwekwa mnamo 21 Machi 2017. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "St. Francis de Geronimo". The Catholic Encyclopedia. 1 Septemba 1909. Iliwekwa mnamo 21 Machi 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/32450
  5. Martyrologium Romanum

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy